
Tangazo
Tunapenda kuwataarifu wanafunzi wote kuwa dirisha la maombi ya kujiunga na kozi mbalimbali katika Universal College of Africa (UCA) limefunguliwa rasmi. Hakikisha unakamilisha usajili wako kabla ya tarehe ya mwisho ili kufanikisha safari yako ya kielimu. Maelezo zaidi yanapatikana kupitia tovuti ya UCA.